M/KITI WA CCM RUNGWE AMERIDHISHWA NA UJENZI WA MABWENI KATIKA SHULE YA SEKONDARI RUNGWE BOYS
Автор: MEJY TV
Загружено: 2026-02-23
Просмотров: 84
Описание:
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi wilaya ya Rungwe ameridhishwa na ujenzi wa Mabweni katika shule ya sekondari Rungwe boys iliopo kata ya Kiwira
kauri hiyo ameitoa wakati wa ukaguzi wa Mabweni hayo na kamati ya siasa ya wilaya Ya Rungwe
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: