DRAMA MAHAKAMANI! JAMHURI WALALAMIKA, WAOMBA GAG ORDER | LISSU ASEMA "NITAWASHONA"
Автор: ZA LEO LEO
Загружено: 2026-02-20
Просмотров: 1191
Описание:
Katika podcast hii ya kina, tunachambua kwa undani kilichojiri Mahakama Kuu kwenye kesi ya uhaini inayomkabili Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu.
Mapema kabisa leo, Mawakili wa Serikali wamewasilisha malalamiko wakidai kuwa mashahidi wao, hasa wa kificho, wanahofia usalama wao kutokana na mijadala inayoendelea mitandaoni kuhusu mwenendo wa kesi.
Je, malalamiko haya ni halali? Au ni mbinu ya kisheria kuomba Mahakama itoe “Gag Order” ili kuzuia mjadala wa umma?
Pia tunachambua hoja ya Serikali kuwasilisha Notice of Additional Substance of Evidence chini ya Kifungu cha 308(1) cha CPA, wakidai wana ushahidi wa ziada kwa shahidi wao wa msingi.
Je, ni:
Jaribio la kuziba mapengo ya ushahidi?
Mbinu ya kuchelewesha mwenendo wa kesi?
Au ni haki yao ya kisheria?
Upande wa utetezi umeeleza kuwa hoja hiyo itajadiliwa mwisho baada ya mashahidi wote wa Jamhuri kumaliza ushahidi wao.
Tunaangalia pia:
Maana ya “No Case to Answer”
Nini kinaweza kutokea hatua inayofuata
Athari za mjadala wa umma kwenye kesi za jinai
🎙️ Sikiliza uchambuzi wa dakika 30 unaoelezea taswira nzima ya kisiasa na kisheria ya kesi hii.
🔔 Subscribe kwa uchambuzi wa kina wa masuala ya sheria na siasa
#TunduLissu
#KesiYaLissu
#MahakamaKuu
#SiasaTanzania
#Uhaini
#CPA
#SheriaTanzania
#NoCaseToAnswer
#BreakingNewsTanzania
#PodcastTanzania
#HakiNaSheria
#TanzaniaPolitics
#CourtUpdate
#LegalAnalysis
#Demokrasia
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: