RISKY DON - BACK BENCHERS (OFFICIAL FREESTYLE)
Автор: RISKY DON
Загружено: 2026-03-03
Просмотров: 117
Описание:
LYRICS:
Aaah,
sisi ndo wale tulipatanga ma D,
Tulishindwa adi kuzoza na ma G,
Walitudump wakasema hatuezi win,
lakini sahii,, alaa lakini sahii,, aah,
si ndo back benchers, ndani ya s class,
si ndo backbenchers, ndani ya, ndani yaa,, X2
Tukizaliwa walisema nakuja na plate,
Lakini nkidhani yangu ilipasukia gate,
TBT Nursery results zilikua mess,
Hapo mamode wakajua kijana hatamake,
Nilikua danda, wenzangu walinichee(ka),
Kwani kua bongo lala daro ilikua eeh,
Lakini nashukuru fathela hakugive up,
Mathe motivation daily akisema itachange aah,
KCPE nikafamya lakini acha nisisay,
Seco nikajoin lakini mambo ikuchange,
Nkatia bidii lakini ni ka ilikua late naah,
After miaka 4 results zikatoka E aah
Road to 1K subscriber, keep adding!!!
#toxiclyrikali #dancehall #backbenchers #arbantone #music
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: