ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Mshindi wa Nembo ya ZRA Atangazwa

Автор: ZRA ONLINE TV

Загружено: 2023-03-17

Просмотров: 1393

Описание: Mamlaka ya Mapato Zanzibar (ZRA) imemtangaza ndugu Hussein Hamis Hussein kuwa mshindi wa shindano la ubunifu wa nembo rasmi itakayoitambulisha taasisi hiyo.

Mshindi huyo alitangazwa leo katika hafla ya uzinduzi rasmi wa Nembo hiyo, liyofanyika katika Afisi za Makao Makuu ya ZRA Mazizini.

Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Zanzibar ndugu Yusuph Juma Mwenda alisema uteuzi wa Nembo hiyo umezingatia mambo mengi ikiwemo kutenda haki na usawa kwa walipakodi wote.

Aliongeza kuwa, ni malengo ya uanzishwaji wa ZRA kusimamia na kutoa huduma bora kwa wadau wote, hivyo, nembo hiyo inaendelea kutoa ahadi ya taasisi kwa wadau kuwa haki itaendelea kutendeka na huduma bora zitachukua nafasi yake.

Kamishna Mwenda alisema mabadiliko ya nembo yatachochea ari na utendaji wa ZRA kwa kuwa ni sehemu ya ahadi yao kwa walipakodi.

Mapema akizungumzia mchakato wa kupata nembo hiyo, Mwenyekiti wa Kamati ya kuhamia ZRA ndugu Mohammed Amour Mohammed alisema jumla ya wabunifu 60 waliwasilisha Nembo 75 ambazo zilifanyiwa mchujo na kupatikana nembo hiyo moja ambayo imetangazwa leo.

Alibainisha kuwa, utaratibu wa kupata Nembo mya ya ZRA ni suala la kisheria kama ilivyoainishwa na katika kifungu cha nne cha Sheria ya Uanzishwaji wa ZRA ya mwaka 2022.

Naye Mshindi wa shindano hilo Ndugu Hussein Hamis Hussein alius ukuru uongozi wa ZRA kwa kuichagua kazi yake katika kazi 75 zilizowasilishwa, na akawaomba wabunifu wachanga wasichoke kutumia kila fursa itakayojitokeza.

Mshindi wa Shindano hili alikabidhiwa kitita cha Shilingi milioni 3 kama zawadi kwa ubunifu wake huo.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mshindi wa Nembo ya ZRA Atangazwa

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

#ZRA: Wananchi Kaskazini Unguja Waipa Heko Kambi ya ZRA Mtaani Kwako

#ZRA: Wananchi Kaskazini Unguja Waipa Heko Kambi ya ZRA Mtaani Kwako

AWAMU YA NANE NA ZANZIBAR MPYA

AWAMU YA NANE NA ZANZIBAR MPYA

#ZRA YAWANOA WATENDAJI WAKE

#ZRA YAWANOA WATENDAJI WAKE

#ZRA yawafuata walipakodi mitaani

#ZRA yawafuata walipakodi mitaani

20 Фактов о Boeing 747, Которые Вас Удивят

20 Фактов о Boeing 747, Которые Вас Удивят

🔴#LIVE: GOOD MORNING KUTOKA ZANZIBAR, TUNAZINDUA RASMI WASAFI FM ZANZIBAR

🔴#LIVE: GOOD MORNING KUTOKA ZANZIBAR, TUNAZINDUA RASMI WASAFI FM ZANZIBAR

Музыка лечит сердце и сосуды🌿 Успокаивающая музыка восстанавливает нервную систему,расслабляющая #5

Музыка лечит сердце и сосуды🌿 Успокаивающая музыка восстанавливает нервную систему,расслабляющая #5

Zijuwe Athari za Kuchelewesha Ritani na Malipo

Zijuwe Athari za Kuchelewesha Ritani na Malipo

#ZRA Yapiga Kambi Madukani

#ZRA Yapiga Kambi Madukani

ZANZIBAR KUZALISHA UMEME WA UPEPO

ZANZIBAR KUZALISHA UMEME WA UPEPO

После 60 лет — ешьте это каждый день! Натуральная защита от онкологии | ПАМЯТЬ И МОЗГ

После 60 лет — ешьте это каждый день! Натуральная защита от онкологии | ПАМЯТЬ И МОЗГ

Mkurugenzi Mkuu ZAECA uso kwa uso na Kamati ya Ulinzi na Usalama Kaskazini Pemba.

Mkurugenzi Mkuu ZAECA uso kwa uso na Kamati ya Ulinzi na Usalama Kaskazini Pemba.

WAZEE WAPAZA SAUTI ZANZIBAR “MSIKATE TAMAA WATU”

WAZEE WAPAZA SAUTI ZANZIBAR “MSIKATE TAMAA WATU”

NGOMA NZITO, PUTIN ATOA TAMKO RASMI, MAREKANI ITAWAJIBIKA KWAUCHOKOZI WAKE

NGOMA NZITO, PUTIN ATOA TAMKO RASMI, MAREKANI ITAWAJIBIKA KWAUCHOKOZI WAKE

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

BBC SWAHILI HALI INAZIDI KUWA TETE MASHARIKI YA KATI

Узбеки и Таджики: почему ДНК-тест напугал историков?

Узбеки и Таджики: почему ДНК-тест напугал историков?

⚡️ Массированный залп по военной технике || США понесли тяжёлую утрату

⚡️ Массированный залп по военной технике || США понесли тяжёлую утрату

Msimamo wa watu wa Kaskazini Unguja kuhusu mustakabali wa GNU

Msimamo wa watu wa Kaskazini Unguja kuhusu mustakabali wa GNU

Mkurugenzi Mkuu wa ZARTSA awaondosha wafanyabiashara waliopo pembezoni mwa barabara.

Mkurugenzi Mkuu wa ZARTSA awaondosha wafanyabiashara waliopo pembezoni mwa barabara.

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar leo afunua mengi yaliyo nyuma za pazia katika hotuba yake Pemba

Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar leo afunua mengi yaliyo nyuma za pazia katika hotuba yake Pemba

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]