Sifuna aponea kubanduliwa kama katibu mkuu ODM
Автор: KBC Channel 1
Загружено: 2026-02-12
Просмотров: 456
Описание:
Edwin Sifuna amepata afueni baada ya jopo la kutatua mizozo ya vyama vya kisiasa kusitisha kuondolewa kwake kama katibu mkuu wa chama cha ODM. Jopo hilo pia ilisimamisha kuchapishwa kwenye gazeti rasmi la serikali jina la mtu wa kuchukua wadhifa wa Sifuna hadi kesi ya kupinga hatua hiyo isikilizwe na mahakama tarehe 26 Februari. Hatua hiyo imejiri saa chache baada ya Sifuna kujitokeza kimasomaso akisema kwamba hang'atuki na kwamba yeye ndiye bado katibu mkuu aliyechaguliwa kihalali wa chama cha ODM.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: / kbcchannel1tv
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: