Mimba ya miezi mitatu / Dalili za mimba ya miezi mitatu (3).
Автор: Dr. Mwanyika
Загружено: 2020-08-22
Просмотров: 138133
Описание:
Dalili za Mimba ya miezi mitatu(3) ni kama hizi zifuatazo!
1. Kupata kichefu chefu na kutapika wakati wa kuamka ahsubuhi (Morning Sicknesses).
Ugonjwa wa kutapika kwa Mama mjamzito (Sehemu A).
• Kutapika nyongo wakati wa ujauzito/Kuhisi ...
Mambo ya kufanya kama unatapika sana wakati wa ujauzito (Sehemu B).
• Kutapika nyongo kwa mjamzito |Jinsia ya ku...
2. Kukojoa Mara kwa mara.
Kwa sababu ya mfuko wa uzazi(Uterus)
kugandamiza kwa kibofu cha mkojo.
Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
• Видео
3. Kupata choo kigumu (Constipation).
Kwa sababu ya ongezeko la hormone ya Progesteroni.
Njia za kujikinga na choo kigumu katika kipindi cha ujauzito
• Видео
4. Kuchoka mara kwa mara.
Vile vile hii ni kwa sababu ya mabadiliko ya homoni.
Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
• Видео
5. Kutokwa ute ukeni,hii ni kutokana na ongezeko la homoni ya estrojeni,kwa ajili ya kuondoa vijidudu ambao wanaweza kuingia kwenye mlango wa uzazi na kusababisha madhara kwa mtoto na mimba kiujumla.
Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
• Видео
6. Maumivu ya tumbo na kiuno kwa upande wa nyuma,hii ni kwa sababu ya kuvutika kwa ligamenti na tendoni kutokana na ukuaji wa mtoto ndani ya mfuko mzazi.
Dalili za mimba ya mimba ya mwezi mmoja na kuendelea.
• Видео
7. Kubadilika kwa mood,mfano mama mjamzito kuwa na hasira mara kwa mara.
8. Kupata kiungulia wakati wote wa ujauzito.
Sababu za kiungulia kwa wajawazito na jinsi ya kupunguza athari au dalili zake.
• Видео
9. Kuvimba kwa mishipa damu ya miguuni,hii ni kwa sababu ya kugandamizwa kwa mishipa ya damu na mfuko wa uzazi na kusababisha damu kushindwa kurudi kwenye Moyo.
10. Kula vyakula visivyo na radha mfano; Ndimu na udongo,kubadilika kwa kuhisi harufu.
NB;Ukiwa unaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).
Subscribe,Comment and Share
JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
/ dr.mwanyika
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.
#AfyaBora
#JapideAfya_Services
#Mimba(3).
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: