Paying for Energy with Zeno Emara (Swahili)
Автор: Zeno
Загружено: 2026-01-26
Просмотров: 56
Описание:
0:03 - 0:09: Kilowatt-Hour (kWh) Comparison
Kwa Zeno, kilowatt-hour ni kama lita za petroli. Unalipa tu energy unatumia.
0:10 - 0:19: Zeno Points and Checking Balance
Zeno Points ndizo zinatumiwa kulipia energy. One Zeno Point ni sawa na one Kenyan shilling. Kucheck balance yako, angalia home screen ya Zeno app ama tumia USSD (384111#).
0:20 - 0:34: Topping Up Zeno Points
Kutop up Zeno Points, tumia M-Pesa kupitia app ama USSD. Kwa USSD, fuata menu options. Kwa app, bonyeza 'Top Up'.
0:35 - 0:54: Energy Breakdown and Pricing
Kilowatt-hour tatu za kwanza kwa siku ni 90 bob. Baada ya hapo, 70 bob kwa kila kilowatt-hour ya ziada, yaani extra. Zeno inareward madereva wanaoenda mbali.
0:55 - 1:19: Battery Rental
Kwa Zeno, ili bei ibaki poa, unarent battery si yako. Haulipi weekly battery fee kama umetumia angalau eight kilowatt-hours kwa wiki, tangu Monday hadi Sunday. Ukitumia chini ya eight kilowatt-hours, tofauti itakatwa kwa Zeno Points zako kwa hiyo wiki, Monday hadi Friday.
1:20 - 1:44: Maintaining a Positive Balance
Kumbuka, huwezi kuswap ama kufast charge kama Zeno wallet yako haina balance positive. Hakikisha kila wakati una Zeno Points za kutosha kabla ya kucharge. Top up uendelee kusonga.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: