JINSI YA KUFANYA BIASHARA YA MBAO NA FAIDA ZAKE, UJIRA NI LAKI SABA
Автор: InfoScopeTv
Загружено: 2023-08-28
Просмотров: 1470
Описание:
Kazi ni kazi.Kupitia uchumi tv pesa mkononi tunakuletea mfululizo wa ushuhuda wa kazi zinazolipa hasa kwa vijana licha ya kuwa vijana hawataki kuzifanya kwa kuwa mazingira yake hayaitaji mambo ya ukisasa na ubishoo.
Hii ni kaz ya kuchana mbao ambapo msimamizi wa eneo hili katika wilaya ya Misenyi anasema kila kijana analamba sh LAKI 6 mpaka LAKI 7 kwa mwezi pesa ambayo haina makato yoyote.
Tazama na sikiliza mpaka mwisho
#uchumitv
#pesa
#fursa
#biasharayambao
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: