Tabia 10 za Mtu Anaye Jitambua #1
Автор: KUJITAMBUA
Загружено: 2025-06-14
Просмотров: 28259
Описание:
Tabia 10 za Mtu Anaye Jitambua #1
Mtu anayejitambua ni yule anayeielewa nafsi yake, thamani yake, uwezo wake, na mipaka yake. Hapa chini ni baadhi ya tabia za mtu anayejitambua:
1. Ana uelewa wa hisia zake
Anajua anachohisi, kwa nini anahisi hivyo, na anaweza kudhibiti hisia hizo kwa njia chanya.
2. Anajiamini bila kiburi
Ana uhakika wa uwezo wake lakini haonyeshi majivuno au kudharau wengine.
3. Anakubali makosa na kujifunza kutoka kwayo
Hatoroki lawama. Anakubali alikokosea na hujitahidi kubadilika.
4. Ana mipaka ya kimaadili na kijamii
Anajua ni vitu gani haviendani na maadili yake na hatakubali kuvujiwa heshima au kunyimwa haki zake.
5. Ana hamu ya kujiendeleza
yuko tayari kujifunza jambo jipya, hana hofu ya kukosolewa, hukubali mrejesho (feedback) kwa mtazamo wa kujijenga, si kujihisi kushushwa thamani.
@MajaliwaMachinda @Kujitambua
@YouTube
@youtubepremieres-countdown14
@joelnanauka
@TheUnusualAfrican
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: