Makosa 3 Yanayoua Channel Yako ya YouTube
Автор: Richstar
Загружено: 2025-09-01
Просмотров: 10865
Описание:
Unajitahidi kukuza channel yako ya YouTube lakini views na subscribers haviongezeki? Huenda unafanya makosa kadhaa bila hata kujua.
Katika video hii, ninachambua sababu tatu kuu zinazofanya channel ndogo zikwame na kushindwa kukua. Kama unataka kuona channel yako ikipata subscribers na views nyingi, ni lazima uepuke makosa haya.
🔔 HAKIKISHA UME-SUBSCRIBE ILI USIKOSE VIDEO ZIJAZO!
✅ KATIKA VIDEO HII TUTAZUNGUMZIA:
0:00 - Intro: Kwa nini channel yako haikui?
0:44 - Sababu ya 1: Maudhui Yasiyo na Mwelekeo na Thamani (Niche)
4:15 - Sababu ya 2: Packaging Mbovu (Thumbnail na Title Mbaya)
7:01 - Sababu ya 3: Kukosa Mkakati na Msimamo (Consistency)
10:45 - Muhtasari na Hatua za Kuchukua
Tazama video hii hadi mwisho ili ujue jinsi ya kurekebisha makosa haya na kuanza safari ya kukuza channel yako leo.
👇 NIAMBIE KWENYE COMMENTS:
Ni changamoto gani kubwa unayoipata kwenye channel yako?
🔗 UNGANA NAMI:
Instagram: / richstartz
Twitter: / richstartz
Email: [email protected]
Asante kwa kutazama!
#YouTubeTips #JinsiYaKukuzaChannel #GrowOnYouTube #TanzaniaYouTube
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: