ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Shabiby ataka laini za simu zichangie Bima ya Afya kwa wote, hospitali za Serikali zibinafsishwe

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-04-05

Просмотров: 780

Описание: Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby ameshauri kila mwenye simu akatwe Sh2,000 kila mwezi, wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi wakatwe Sh10,000 na hospitali, zahanati na viuto vya afya vya Serikali vibinafsishwe.

Shabiby amesema hayo leo Ijumaa Aprili 5, 2024 wakati akichangia mapendekezo ya bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka wa fedha 2024/2025.

Amesema kuna wamiliki wa laini za simu nchini milioni 72 ambao makato yao kwa mwaka yataingiza Sh1.720 trilioni na zikijumlishwa za Sh10,000 kwa mwezi za wabunge, wafanyabiashara na wafanyakazi Serikali itapata kwa mwaka takriban Sh2 trilioni, zitasaidia kuwa chanzo cha mapato ya uhakika kwa Bima ya Afya kwa wote.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Shabiby ataka laini za simu zichangie Bima ya Afya kwa wote, hospitali za Serikali zibinafsishwe

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

MBUNGE SHABIBY AWAKA;

MBUNGE SHABIBY AWAKA; "PESA YANGU, BASI LANGU, SERIKALI NDIYO INIWEKEE PESA, BIASHARA YA WAPI HII?"

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

Уникальная немецкая кинохроника штурма Брестской крепости (1941)

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA ANAZUNGUMZA NA WAKAZI WA CHEKERENI

🔴#LIVE: WAZIRI MKUU DKT. NCHEMBA ANAZUNGUMZA NA WAKAZI WA CHEKERENI

Shabiby awaacha hoi Wabunge

Shabiby awaacha hoi Wabunge "Kama kuna 2% ya bodaboda waliosoma nitajiuzulu ubunge"

SHABIBY ATOA DARASA BUNGENI

SHABIBY ATOA DARASA BUNGENI "HAWA WATU KWENYE NCHI HII NI SHIDA , HAWAJUI MIPANGO"

🔴LIVE: ASASI ZA KIRAIA, wakosoa vikali sakata la BIMA YA AFYA wawakingia kifua wananchi

🔴LIVE: ASASI ZA KIRAIA, wakosoa vikali sakata la BIMA YA AFYA wawakingia kifua wananchi

BILA KUPEPESA MBUNGE SHABIBY AWAVURUGA JIMBONI “MIMI NI MWEHU ALIYEPITILIZA NA HANIWEZI”

BILA KUPEPESA MBUNGE SHABIBY AWAVURUGA JIMBONI “MIMI NI MWEHU ALIYEPITILIZA NA HANIWEZI”

Час Пик 1994 (21.07.1994)

Час Пик 1994 (21.07.1994)

Индия должна привязать заработную плату к инфляции, как и все крупные экономики: Рагхав Чадха зая...

Индия должна привязать заработную плату к инфляции, как и все крупные экономики: Рагхав Чадха зая...

SHABIBY AJILIPUA BUNGENI “MAWAZIRI WAOGA,VIGARI VYA ZIMAMOTO UKIWASHA NYASI HAVIZIMI”

SHABIBY AJILIPUA BUNGENI “MAWAZIRI WAOGA,VIGARI VYA ZIMAMOTO UKIWASHA NYASI HAVIZIMI”

ДК МВИГУЛУ: Есть руководители, которые воспринимают проблемы граждан просто как приветствие.

ДК МВИГУЛУ: Есть руководители, которые воспринимают проблемы граждан просто как приветствие.

Как австралийские фермеры зарабатывают миллиарды на сельском хозяйстве. Уникальные кадры

Как австралийские фермеры зарабатывают миллиарды на сельском хозяйстве. Уникальные кадры

🔴MALUMBANO YA HOJA: Muswada wa Bima ya Afya Kwa Wote, Januari 26, 2023.

🔴MALUMBANO YA HOJA: Muswada wa Bima ya Afya Kwa Wote, Januari 26, 2023.

Адмирал Джихат Яйджы объяснил на карте: что планирует Китай

Адмирал Джихат Яйджы объяснил на карте: что планирует Китай

ЭТО КОНЕЦ! Орбан заблокировал помощь Украине после слов Зеленского

ЭТО КОНЕЦ! Орбан заблокировал помощь Украине после слов Зеленского

Mbunge azua kizaazaa baada ya kuibagua Simba Bungeni

Mbunge azua kizaazaa baada ya kuibagua Simba Bungeni

MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO

MBUNGE BWEGE ALIVYOZUA BALAA BUNGENI LEO

SHABIBY AWAVURUGA BUNGENI ISHU YA BANDARI,

SHABIBY AWAVURUGA BUNGENI ISHU YA BANDARI, "NCHI HII WAPIGAJI NI WENGI"

Адмирал Джихат Яйджи комментирует формат «Турция-Пакистан-Саудовская Аравия»

Адмирал Джихат Яйджи комментирует формат «Турция-Пакистан-Саудовская Аравия»

WASIRA NA DHANA YA KUSTAAFU SIASA

WASIRA NA DHANA YA KUSTAAFU SIASA

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]