QAYLLAH WA SHETTA NA MTOTO WA WAZIRI MWIGULU WATEULIWA CCM
Автор: Millard Ayo
Загружено: 2023-12-14
Просмотров: 28061
Описание:
Qayllah Nurdin Billal mtoto wa mwanamuziki Shetta ameteuliwa na kamati ya utekelezaji ya Baraza Kuu la UVCCM Taifa kuwa miongoni wa wagombea nafasi ya mwenyekiti wa Chipukizi Taifa huku Isaac Mwigulu Nchemba mtoto wa Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba akuteuliwa kugombea ujumbe wa baraza kuu la umoja wa Vijana wa UVCCM Taifa kuwakilisha kutoka Chipukizi
Taarifa hiyo imetolewa na Edna Lameck Katibu wa hamasa na Chipukizi UVCCM wakati akitoa taarifa ya baraza hili kwa vyombo vya Habari na kusema uchaguzi huo utafanyika disemba 20,2023
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: