Henrick Mruma - Ukae Nami (Lyrics)
Автор: Mikky's Lyrics
Загружено: 2023-02-12
Просмотров: 104102
Описание:
Official Video: • Ukae Nami - Henrick Mruma (Official Live V...
Official live video: • Zaidi ya Fahamu/Uko Mwenyewe - Henrick Mru...
LYRICS
[Chorus]
E Bwana ukae nami
Ukae nami milele
Bwana ni mlinzi wangu
uvuli wa mkono wa kuume
Jua halitanipiga mchana
Wala mwezi wakati wa usiku
Utanilinda na mabaya yote
Mabaya yote
Utanilinda nitokapao na niingiapo
(Chorus)
[Milele, milele
Ukae nami milele] ×2
Kaa nami ni usiku tena
Usiniache gizani bwana
Msaada wako haukoki
Nili peke yangu kaa nami
Nina haja na we kila saa
Sina mwingine wa kunifaa
Mimi nitaongozwa na nani
Ila wewe bwana kaa nami
Ila wewe bwana kaa nami
Ila wewe bwana kaa nami
Ila wewe bwana kaa nami
Ila wewe bwana kaa nami
Ila wewe bwana kaa nami
Ila wewe bwana kaa nami
Ila wewe bwana kaa nami
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: