Rigathi Gachagua adai kuna njama ya wizi wa kura katika uchaguzi wa 2027
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2026-03-06
Просмотров: 2574
Описание: Viongozi wa mrengo wa upinzani wakiongozwa na kinara wa DCP Rigathi Gachagua wamemshtumu naibu rais Kithure Kindiki wakidai anatumika kuwagawanya watu wa mlima kenya kabla ya uchaguzi wa mwaka 2027. Wakizungumza walipozuru kaunti za Tharaka Nithi na Meru viongozi hao pia wameshtumu kile wanadai ni njama ya wizi wa kura na kutaka kufanyiwa ukaguzi mfumo wa usajili wa watu
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: