WAZAWA KUNUFAIKA NA AJIRA ZA BOMBA LA MAFUTA.
Загружено: 2026-01-07
Просмотров: 236
Описание:
Mradi wa bomba la mafuta ghafi unatarajia kukamilika ifikapo July mwaka huu utakuwa umekamilika na kuanza kusafirisha mafuta kutoka Hoima Uganda hadi Chongoleani Tanzania
Akizungumza mara baada ya kutembelea eneo la mradi chongoleani Naibu Waziri wa Nishati Nchini Tanzania Salome Makamba ameagiza kuendelea kuendelea kutoa ajira kwa wazawa na kuhakikisha mradi huu unamalizika kwa wakati.
Kwa upande wake Naibu Waziri wa Nishati na Maendeleo ya Madini Uganda Ruth Nankabirwa akapongeza uongozi kwa ushirikishwaji wa wananchi katika ujenzi na usimamizi wa usalama uliopo katika mradi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: