Homemade ginger and garlic paste-cubes / kitunguu saum na tangawizi vya kusaga
Автор: Shuna's Kitchen
Загружено: 2018-04-15
Просмотров: 15985
Описание:
Kama tunavyojua kua kitunguu saum na tangawizi mbichi ni hitaji la vyakula vingi tunavopika kwenye majiko yetu, ili kupunguza au kurahisisha kazi tumia hii njia rahisi ambayo itakurahisishia kwenye mapishi yako yanayotumia kitunguu saum na tangawizi
.
.mahitaji ya namba 1
Vitunguu saum - vimenye
Tangawizi mbichi - imenye ikate ikate
Mafuta ya kupikia vjk 4
Chumvi kjk 1
Namba 2
Vitunguu saum - vimenye
Tangawizi mbichi - imenye ikate ikate
Maji nusu glass au kikombe kasrobo
___________________
Ingredients
Garlic - peeled
Ginger - peel and chop
4 tbsp cooking oil
1 tbsp salt
No 2
Garlic - peeled
Ginger - peel and chop
3/4 cup water
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: