48 HRS - SHORT FILM | MWANAFUNZI ALICHELEWA KUJISAJILI... TAZAMA KILICHOTOKEA
Автор: MPP FILM TZ
Загружено: 2026-03-16
Просмотров: 804
Описание:
Hii ni filamu fupi inayogusa maisha halisi ya wanafunzi wa vyuo vikuu. Inaelezea simulizi ya mwanafunzi aliyekaribia kupoteza nafasi yake ya masomo baada ya kuchelewa kufanya usajili wa chuo.
Filamu hii imeandaliwa na wanafunzi kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Ndaki ya CIVE.
Karibu ujiunge nasi kwa kusubscribe kwenye channel ya MPP FILM TZ ili kila tunapopakia filamu mpya uwe wa kwanza kuiona.
#48HRS #ShortFilm #BongoMovies #MPPFILMTZ #TanzaniaFilms
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: