NGWASI KAMANI ALIA NA WAZIRI JUU YA AJIRA KWA VIJANA
Автор: Yuboxtv
Загружено: 2022-09-13
Просмотров: 923
Описание:
NGWASI KAMANI ALIA NA WAZIRI JUU YA AJIRA KWA VIJANA
Mbunge Wa Viti Maalumu Kundi la Vijana Kutokea Mkoa wa Mwanza @ngwasikamani Leo Bungeni ameuliza maswali mawili ya Nyongeza yakielekezwa Wizara ya Mambo ya Nje, yaliyolenga kujua juhudi za Serikali katika kuwataftia vijana nafasi za kazi nje ya nchi kwa kutumia balozi zetu. Video nzima tumekuwekea
#ajira#bunge#vijana
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: