MUME WA RAIS SAMIA KWENYE SWALA YA EID.
Автор: Coconut Fm Zanzibar
Загружено: 2024-06-17
Просмотров: 136354
Описание:
Mume wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh Samia Suluhu Hassan, Hafidh Ameir
naye ni mmoja ya waumini walioudhuria Ibada Tukufu ya Swala ya Eid Al-Adha katika Masjid Jamii Zinjibar Kiembe Samaki.
Eid Al-Adha ufanyika mara moja kwa mwaka na ikifuatiwa na ibada ya Kuchinja Mnyama anaweza kuwa Kondoo, Mbuzi, Ng'ombe au Ngamia .
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: