Hacking the NATS (Nissan Anti-Theft System)🧑🔧
Автор: 5021tips
Загружено: 2020-05-12
Просмотров: 25242
Описание:
Ukibadilisha BCM au ECM au vurugu yeyote ikitokea kwenye funguo, gari itakata kuaka mpaka ufanye initialisation kwa OBD machine yeyote ili muradi inao function ya #NATS!
Uchawi zaisdi ni kwamba wakati unafanya utafika wakati kuhitaji code/password kutoka kwa dealer wa NISSAN🤔, lakini #HAPAUJANJAtu juu unaeza kufanya kazi zako bila kumtegemea mtu mwingine yeyote maana #5021Tips tumekupa programu ya ku calculate hizo NATS code!
http://www.5021.tips/ujanja/nissankey...
#nissankeys #5021tips #keyprogramming
#NATScode #KEYprogramming #5021tips
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: