ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

Boshen anavyoiheshimisha fani ya uchoraji tattoo || ataja changamoto anazopitia 'wapo wanaonitaka '

Автор: Mwananchi Digital

Загружено: 2024-03-30

Просмотров: 154

Описание: Cheza sasa kupitia https://shorturl.at/jqzU6 na ushinde

Mtaani wapo wenye mitazamo ya kuwa tattoo ni uhuni, na wengine wakikazia kwamba mwanamke mwenye tattoo siyo wa kuoa na kumweka ndani, huku kwa upande wa wanaume wenye michoro hiyo mara nyingi wakionekana wahuni na wababaishaji.

Mitazamo yote hii juu ya watu hao imekanushwa na mchora tattoo maarufu Tanzania , Bryson Peter maarufu kama Boshen, kwa kusema kuwa tattoo ni michoro kama mingine na ni sanaa ambayo haina uhusiano wowote na uhuni kama watu wanavyodhani.

Boshen ambaye alianza kazi ya uchoraji tattoo miaka kumi iliyopita, kipaji chake kilianza kuonekana tangu akiwa shule ya msingi kwa kuwachorea wanafunzi wenzake picha mbalimbali. Wakati akizungumza na gazeti hii amesema uhuni siyo muonekano, ni tabia ya mtu.

Boshen amesema ili mtu aweze kuwa mchoraji mzuri wa tattoo ni lazima awe na kipaji cha kuchora, pia katika utendaji ni lazima awe na vifaa vya kisasa. Huku akitaja kuwa hiyo ndiyo sababu kubwa ya watu wengi kumfuata awapatie huduma hiyo.

“Kuna watu wanatumia vifaa ambavyo siyo vya kisasa, sindano wanarudia, kuna wengine wanachemsha mimi kazi zangu huwa nafanya asilimia mia vifaa vipya, natumia natupa, kwa hiyo kama mchoraji unatakiwa uwe na uelewa wa hii kazi na uipende”. Amesema.

Boshen anasema vifaa vya kuchorea tattoo ni gharama na Tanzania havipatikani hivyo wakati wa kuviagiza huchukua muda kufika, kwa upande wake inamlazimu kuwa na akiba ya kutosha kwa kuwa amekuwa akipata kazi mpya kila mara.

Ametaja bei ya boksi la sindano za kuchorea tattoo ni Sh 100,000 ndani yake lina sindano 50, wino na vifaa vingine pia huviagiza nje ya nchi.
Usikofe kufuatilia video kamili katika YouTube Mwananchi Digital.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Boshen anavyoiheshimisha fani ya uchoraji tattoo || ataja changamoto anazopitia 'wapo wanaonitaka '

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

WAJUE WASUKUMA KWENYE HARUSI

WAJUE WASUKUMA KWENYE HARUSI

На озере Танганьика перевернулась лодка, шесть медицинских работников утонули.

На озере Танганьика перевернулась лодка, шесть медицинских работников утонули.

WAZIRI MKUU AKASIRIKA  ATOA MSIMAMO MKALI

WAZIRI MKUU AKASIRIKA ATOA MSIMAMO MKALI

🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI .. MACHI 14, 2026-  MIILI 7 WATUMISHI WALIOFARIKI KWENYE AJALI YAAGWA

🔴TAARIFA YA HABARI SAA MBILI .. MACHI 14, 2026- MIILI 7 WATUMISHI WALIOFARIKI KWENYE AJALI YAAGWA

WAZIRI GWAJIMA ALIVYOKUTANA NA MUMEWE | ASHAURI MABINTI WASIOLEWE KISA MALI | M&S PODCAST EP 1

WAZIRI GWAJIMA ALIVYOKUTANA NA MUMEWE | ASHAURI MABINTI WASIOLEWE KISA MALI | M&S PODCAST EP 1

САМИЯ: Нгоронгоро — это объект всемирного наследия, который необходимо защищать; правительство до...

САМИЯ: Нгоронгоро — это объект всемирного наследия, который необходимо защищать; правительство до...

Kauli ya Ole Sendeka kushambuliwa akumbuka tukio la Tundu Lissu, afika eneo la tukio akiwa na polisi

Kauli ya Ole Sendeka kushambuliwa akumbuka tukio la Tundu Lissu, afika eneo la tukio akiwa na polisi

Kilimo cha ndizi migomba kwa mfumo wa umwagiliaji wa matone yaani drip irrigation system ktk ndizi

Kilimo cha ndizi migomba kwa mfumo wa umwagiliaji wa matone yaani drip irrigation system ktk ndizi

TAARIFA YA HABARI WIKIENDI  - AZAM TV - 14/03/2026

TAARIFA YA HABARI WIKIENDI - AZAM TV - 14/03/2026

Губернатор Бот объявляет об ограничениях для тех, кто использует доллары вместо шиллингов для аре...

Губернатор Бот объявляет об ограничениях для тех, кто использует доллары вместо шиллингов для аре...

HABARI KUBWA MCHANA HUU/VITA YA IRAN BADO NZITO/MAREKANI YASHAMBULIA ZAIDI...

HABARI KUBWA MCHANA HUU/VITA YA IRAN BADO NZITO/MAREKANI YASHAMBULIA ZAIDI...

СУДЬЯ НДИКА: МНОГИЕ ЖИТЕЛИ НГОРОНГОРО БОЯТСЯ ПОТЕРЯТЬ СВОЮ ЗЕМЛЮ

СУДЬЯ НДИКА: МНОГИЕ ЖИТЕЛИ НГОРОНГОРО БОЯТСЯ ПОТЕРЯТЬ СВОЮ ЗЕМЛЮ

В Шиньянге ведется реконструкция более 10 домов, окруженных водой.

В Шиньянге ведется реконструкция более 10 домов, окруженных водой.

Министр сделал заявление по поводу назначения президентом.

Министр сделал заявление по поводу назначения президентом.

🔴#LIVE; NETANYAHU AONEKANA ISRAEL/ KIONGOZI WA IRAN ATOA MSIMAMO KUHUSU VITA/TUME YAWASILISHA RIPOTI

🔴#LIVE; NETANYAHU AONEKANA ISRAEL/ KIONGOZI WA IRAN ATOA MSIMAMO KUHUSU VITA/TUME YAWASILISHA RIPOTI

UTAPENDA MANENO YA HAMISA MOBETTO, SHILOLE NA JUMA LOKOLE KWENDA KWA GIGY MONEY KUHUSU NDOA

UTAPENDA MANENO YA HAMISA MOBETTO, SHILOLE NA JUMA LOKOLE KWENDA KWA GIGY MONEY KUHUSU NDOA

🛑LIVE: MVUA YAZUA BALAA ARUSHA, MECHI YA TRA V SIMBA YAPIGWA TAREHE | IBENGE APANIA KUIFUNGA YANGA

🛑LIVE: MVUA YAZUA BALAA ARUSHA, MECHI YA TRA V SIMBA YAPIGWA TAREHE | IBENGE APANIA KUIFUNGA YANGA

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

Umma Wamkemea Makamu wa Rais Dkt. Nchimbi Kama Mtoto: Samia Mashakani Naye Sasa

РЕКОМЕНДАЦИИ КОМИССИИ ПО КОНФЛИКТАМ, ВКЛЮЧАЯ ЗАКОНОДАТЕЛЬСТВО

РЕКОМЕНДАЦИИ КОМИССИИ ПО КОНФЛИКТАМ, ВКЛЮЧАЯ ЗАКОНОДАТЕЛЬСТВО

Комиссия перечислила причины добровольной миграции в Нгоронгоро.

Комиссия перечислила причины добровольной миграции в Нгоронгоро.

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]