Jinsi ya kupika chapati laini sana na zilizochambuka - CHAPATI ZA MAZIWA
Автор: Mapishi TV
Загружено: 2025-04-09
Просмотров: 94469
Описание:
Chapati recipe
Mahitaji:
Unga 1 kg
Siagi vijiko vikubwa 2
Chumvi kijiko kikubwa 1
Maji vuguvugu 200ml
Maziwa 250 ml
Mafuta ya kupikia vijiko vikubwa 2
Mafuta ya kuchomea
Mchanganyiko wa siagi na mafuta wa kikunjia
Chapati 12
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: