SIKU 4 NDANI YA NDOA: TAZAMA MREMA ANAVYOLISHWA CHAKULA KIMAHABA NA MKEWE - "HUYU NDIO CHAGUO LANGU"
Автор: Global TV Online
Загружено: 2022-03-27
Просмотров: 39638
Описание:
SIKU 4 NDANI YA NDOA: TAZAMA MREMA ANAVYOLISHWA CHAKULA KIMAHABA NA MKEWE - "HUYU NDIO CHAGUO LANGU"
Umri ni namba tu! Hiyo ndiyo kauli aliyoitoa mke wa Mzee Augustino Mrema, Doreen mara baada ya kuolewa.
Sasa tayari ameanza maisha ya ndoa na kama alivyosema atahakikisha mzee huyo anakuwa kijana kwa kumhudumia, tazama video hii inavyomuonesha akimlisha chakula mzee huyo mwanasiasa mkongwe nchini.
Kwenye video hiyo, mke wa Mrema anasikika akisema atamtumkia kwani ndiyo chaguo lake dunia yote hajaona mwaname kama yeye huku wakisikika baadhi ya ndugu wa Doreen.
⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: [email protected] OR [email protected]
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania!
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: