Savyop - Pole pole (Official audio)
Автор: Savyop
Загружено: 2025-03-22
Просмотров: 2564
Описание:
Riziki ni fundo mbili
Kupata naku kosa
Leo nime kosa
Kesho nita pata
Duniya tupo wawili
Wengine wame pata
Nasi tuko na tafuta
Kesho tuta pata
Usi ni dharau
Usi ni oneye
Na mabaya usi ni takiye
Ni ombeye ni endeleye
Nami ni fike pale ulipo
Ni shuhudiye mabadiliko
Walio sema sito fika wata shangaa sana
Heéee
Nami gari yangu kule nyuma maman
Naimani kwamba kesho
Nita ishi salama
Wanao ni penda wata furahi sanaa
Maisha pôle pole
Hatuna pression
Baba mungu ata tu blessings
Ata tu bariki
Acha tuji tume
Hatuta shindwa
Baba mungu ata tu blessings
Ata tu bariki
Lazima kwanza kuvunja jacho
Toka jana mpaka kesho
Tumika sana wewe kaza roho
Acha fitina fumba macho
Walimwengu watasema
Maneno yaku vunja moyo
Hawa pendi mafanikiyo yako
Chunga sana
Uki barikiwa kwa shetani ume pita
Eti
Kuku tangaza vibaya
Wata ku aribiya jina
Asante kwa wanao
Tu supporte
Kwa shauri naku tupa pesa
One day tuta zi fikiya Dreams
Tu enjoy na sisi
Sisi ndo waleeeee
Walee
Munao tu ona si kitu
Muta shangaaa ipo siku
Maisha pôle pole
Hatuna pression
Baba mungu ata tu blessings
Ata tu bariki
Acha tuji tume
Hatuta shindwa
Baba mungu ata tu blessings
Ata tu bariki
Kamwe usidharau nguvu ya kazi ngumu na uvumilivu. Wimbo huu ni wimbo wa kuwatia moyo wale wote wanaofuatilia ndoto zao kwa dhamira, bila kukata tamaa, hata wanapokumbana na vikwazo. Unatukumbusha kwamba kila juhudi ina maana, kwamba kila hatua tunayopiga inatuleta karibu na malengo yetu.
Katika ulimwengu ambapo sura za nje zinaweza kudanganya, wimbo huu unasherehekea uhalisi na thamani ya kazi ya uaminifu. Unaangazia safari ya wale ambao, licha ya hukumu na chuki, wanaendelea kuamini uwezo wao na kupigania mafanikio yao.
Acha ujumbe huu wa matumaini na motisha ukutie moyo. Wimbo huu uweze kukupa nguvu ya kuvumilia, kuamini ndani yako na kamwe usidharau nguvu ya kazi yako mwenyewe. Kwa pamoja, tusherehekee mafanikio ya wale ambao, kupitia dhamira yao, wanabadilisha ndoto zao kuwa ukweli.
Usisahau kupenda, kutoa maoni na kushiriki video hii ikiwa unaamini nguvu ya kazi ngumu!
#savyop #maishapolepole #Mafanikio #Motisha #Msukumo #Muziki #WimboMpya"
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: