Shule pekee ya Kiingereza ya Serikali jijini Dodoma yaiomba TEA kuongezewa madarasa
Автор: Azam TV
Загружено: 2023-04-19
Просмотров: 2105
Описание: Uongozi wa shule ya mchepuo wa Kiingereza inayomilikiwa na Serikali ya Msangalalee iliyopo jijini Dodoma umeiomba Mamlaka ya Elimu nchini (TEA) kuipatia ufadhili wa ujenzi wa vyumba vya ziada vya madarasa ili kujiandaa na ongezeko la wanafunzi kwenye mwaka mpya wa masomo unaotarajia kuanza mwezi Januari mwaka 2024.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: