ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

John Lisu - Yesu Anaandika ( Official Music Video )

Автор: John Lisu Music

Загружено: 2025-05-22

Просмотров: 57780

Описание: CONNECT
PARTNER with John Lisu’s ministry +255713240397(Wave/Remit/TIGOPESA
+255768154948 God bless you abundantly.

Sefania 3:17 BWANA, Mungu wako, yu katikati yako shujaa awezaye kuokoa; Atakushangilia kwa furaha kuu, Atakutuliza katika upendo wake, Atakufurahia kwa kuimba. The LORD thy God in the midst of thee is mighty; he will save, he will rejoice over thee with joy; he will rest in his love, he will joy over thee with singing.

YESU ANAANDIKA
Yesu ataimba wimbo, wimbo juu yangu
Jesus will sing a song, a song over me

Atanifurahia kwa kuimba,
He will rejoice over me with singing
Yesu anaandika
Jesus is writing

BWANA ataimba wimbo, wimbo juu yangu
The Lord will sing a song, a song over me

Atanifurahia kwa kuimba
He will rejoice over me with singing
Yesu anaandika
Jesus is writing

BWANA ataimba wimbo, wimbo wa maisha yangu
The Lord will sing a song, a song over my life
Atanifurahia kwa kuimba
Yesu anaandika
He will rejoice over me with singing,
Jesus is writing

Subiri BWANA anaandika wimbo wa maisha yako
Wait on the Lord, He is writing a song over your life
Subiri Yesu anaandika wimbo wakunifurahia
Wait, Jesus is writing a song of rejoicing over you
(repeat)

Huyo ni Yesu - That is Jesus
Bwana Mungu wako yu pamoja nawe
The Lord your God is with you
Huyo ni Yesu - That is Jesus
Shujaa awezaye kuokoa - A warrior who is mighty to save
Huyo ni Yesu - That is Jesus
Atakufurahia kwa furaha kuu
He will rejoice over you with great gladness
Huyo ni Yesu - That is Jesus
Atakushangilia kwa kuimba
He will rejoice over you with singing
Huyo ni Yesu - That is Jesus

Subiri BWANA anaandika wimbo wa maisha yako
Wait on the Lord, He is writing a song over your life
Subiri Yesu anaandika wimbo wakunifurahia
Wait, Jesus is writing a song of rejoicing over you
(repeat)

Music interlude

Prayer
Hebu inua mikono yako juu
Lift up your hands
Yeye ni Yesu, ataandika wimbo
wakubadilisha maisha yako
He is Jesus, He will write a song that will change your life
Yuko tayari kuandika historia maya
Yuko tayari kuandika
He is ready to write a new history for you, He is ready to write

Prayer in tongues

inawezekana uliandikiwa wimbo wa laana
It could be that a song of curses was written over your life
uliandikiwa wimbo usiokuwa wa baraka
They wrote a song over your life that is not a song of blessing

Yesu anaandika leo wimbo mpya kwa ajili ya maisha yako, kwa ajili ya huduma, kwa ajili ya familia, kwa ajili ya ndoa,

Today, Jesus is writing a new song over your life, over your ministry, over your family, over your marriage,

Yeye ni mfalme
Jesus is King
inua mikono yako
tanagra tangaza
Lift up your hands and declare it

prayer in tongues

Aaaaa

Yeye ni yesu - He is Jesus
anaandika wimbo mpya wa huduma yako
He is writing a new song over your ministry
anaandika wimbo mpya wa kanisa lako
He is writing a new song over your church

Bwana ataimba wimbo juu yako
kinyume cha mateso, kinyume cha laana

The Lord will sing a song over you
against trials, against curses

Yesu ataimba wimbo juu yako
wimbo wa sayuni, wimbo wa ushindi

Jesus will sing a song over you
The song of Zion, a song of victory
(repeat)

Huyo ni Yesu
That is Jesus

Band:

1. Fredrick Kilago (Masanja)
Music Director & Main Keys
Audio mixsing Sadock
2.Abbysalum chiwanga(mobby)auxiliary 1
3. Quillian Kilago - Auxiliary
4. Andrew Michael-Lead guitar
5. David Adjanga-Drums
6.Mukiza- Saxophone

Singers:

SOPRANO
1.Winniepraise
2.HAPPY MHAE
3.Esther Eusibius Maokola
4: DORIS JOHN
5.SECHELELA MAGOLA

ALTO
1.Mary James
2.Lilian Lupiana
3.Irene Gustav Millinga
4.Joyce Daniel
5:ROSE JOHN
6.Cecilia Massawe

TENOR
1.VICENT MASINDUMA
2.EMMANUEL KINARA
3.IMANI MSUVA
4.DANIEL RANDA
5.SYLVESTER BUDO

𝗖𝗥𝗘𝗗𝗜𝗧:
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐃𝐢𝐫𝐞𝐜𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐕𝐢𝐝𝐞𝐨 𝐄𝐝𝐢𝐭𝐨𝐫: Amigo Johnson
𝐀𝐮𝐝𝐢𝐨: sadock Elias @b&w_Productions
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 & 𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞: ABE Professional Sound
𝐒𝐜reen:Gatty events
𝐒𝐨𝐮𝐧𝐝 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Keppy
Audio Capturing: Micho
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐬 𝐏𝐫𝐨𝐯𝐢𝐝𝐞𝐫: Visuals Matters
𝐋𝐢𝐠𝐡𝐭𝐢𝐧𝐠 𝐄𝐧𝐠𝐢𝐧𝐞𝐞𝐫: Fardo
𝐒𝐭𝐚𝐠𝐞 𝐃𝐞𝐬𝐢𝐠𝐧: Gatty Events
𝐏𝐫𝐨𝐝𝐮𝐜𝐭𝐢𝐨𝐧 𝐌𝐚𝐧𝐚𝐠𝐞𝐫: Timothy Sambwe
Executive Producers: Vivid Records
Dressed by Malipula suite And Dinna Outfit

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
John Lisu - Yesu Anaandika ( Official Music Video )

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

John Lisu ft Happy Mhae - Jemedari

John Lisu ft Happy Mhae - Jemedari

TUNATAMBA NAYE  - ENOCK JONAS

TUNATAMBA NAYE - ENOCK JONAS

Japhet Zabron _ Mungu Kwanza (Official video)

Japhet Zabron _ Mungu Kwanza (Official video)

Все содействует ко благу - Богдан Бондаренко

Все содействует ко благу - Богдан Бондаренко

НА КАКИХ УСЛОВИЯХ ОТКРЫЛИ ЦЕРКОВЬ В КУРГАНИНСКЕ?

НА КАКИХ УСЛОВИЯХ ОТКРЫЛИ ЦЕРКОВЬ В КУРГАНИНСКЕ?

John Lisu - Sifa Ni Zako ( Official Music Video )

John Lisu - Sifa Ni Zako ( Official Music Video )

#Uwepo wako nisalama yangu by Ev Daniel joshua

#Uwepo wako nisalama yangu by Ev Daniel joshua

Dr Annoint Amani - WATAPIKE WOTE  ( official music video )

Dr Annoint Amani - WATAPIKE WOTE ( official music video )

NIMEPATA YESU- Boaz Danken Ft Paul Clement & Essence of Worship #GodisRealDaresalamtz

NIMEPATA YESU- Boaz Danken Ft Paul Clement & Essence of Worship #GodisRealDaresalamtz

Від нової хвороби загине багато дітей! Пророцтво з України. Штучна хмара

Від нової хвороби загине багато дітей! Пророцтво з України. Штучна хмара

Rehema Simfukwe - Bubujiko (Official Music Video )

Rehema Simfukwe - Bubujiko (Official Music Video )

John Lisu ft Paul Clement - Sikia Maombi (Official Video)

John Lisu ft Paul Clement - Sikia Maombi (Official Video)

John Lisu - Wakusifiwa ( official Music Video )

John Lisu - Wakusifiwa ( official Music Video )

John Lisu Ft Joel Lwaga - Nisimamishe (Acoustic Session)

John Lisu Ft Joel Lwaga - Nisimamishe (Acoustic Session)

KAVKAZ WORSHIP - Альбом #8 - Христианская музыка Кавказа

KAVKAZ WORSHIP - Альбом #8 - Христианская музыка Кавказа

Neema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Zaidi na Zaidi (Live Music Video)

John  Lisu ft Babrah Peres - Wewe ni Rafiki ( Official Live Video )

John Lisu ft Babrah Peres - Wewe ni Rafiki ( Official Live Video )

Upendo Nkone - Halleluya Amen (Official Music Video)

Upendo Nkone - Halleluya Amen (Official Music Video)

John Lisu - Wewe Una Nguvu ( Official Music Video )

John Lisu - Wewe Una Nguvu ( Official Music Video )

Neema Gospel Choir - Namtafuta Yesu (Live)//WORSHIP IN SPIRIT

Neema Gospel Choir - Namtafuta Yesu (Live)//WORSHIP IN SPIRIT

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]