USICHOKIJUA KUHUSU DEBORAH MWENDA WA MAMA NA MWANA
Автор: Daily News Digital
Загружено: 2024-12-27
Просмотров: 449
Описание:
SEHEMU ya Pili ya mazungumzo yetu n mtangazaji mashuhuri, aliyeteka nyoyo na hisia za watoto katika kipindi cha miaka ya 1970-90, Deborah Mwenda.
Kipindi hicho watoto walikuwa hawakosi kufuatilia kipindi chake, jambo lililosababisha jina lake kumpa umaarufu kupitia kipindi hicho kilichokuwa na simulizi mbalimbali ambazo zinawahusu watoto kwa kuwafundisha na kuburudisha.
Huyu ni nani fuatana nami katika sehemu ya kwanza ya mahojiano maalum niliyokuandalia kumuhusu ndani ya Kipindi cha The Iron Lady.
Follow us on:
FACEBOOK;
SpotiLeo: / spotileo-176. .
HabariLeo: / habarileo
DailyNews: / dailynewstz
INSTAGRAM;
HabariLeo: https://instagram.com/habarileo_tz?ig...
SpotiLeo: https://instagram.com/spotileo?igshid...
TWITTER;
Twitter HabariLeo: https://twitter.com/HabariLeo?s=09
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: