Washukiwa saba wa utapeli wa madini na pesa bandia wanaswa Iringa
Автор: Azam TV
Загружено: 2018-07-18
Просмотров: 3316
Описание: Polisi mkoani Iringa inawashikilia watu saba kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia 63 za mfano wa dola za kimarekani, madini bandia yenye uzito wa kilogramu 3.5, simu 19 za aina mbalimbali pamoja na hirizi tano zinazohusishwa na imani za kishirikina.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: