Unaweza Ukawa si nabii na bado ukaonyeshwa mambo yatakayokuja 2- Mchungaji Carlos Kirimbai
Автор: Carlos Kirimbai
Загружено: 2019-02-03
Просмотров: 2396
Описание:
Semina ya Neno la MUNGU, iliyofanyika Kilongoni, wilaya ya Mkuranga mkoani pwani, tarehe 21/1/2019 hadi 3/2/2019
Ili kupokea mafundisho kama haya unakaribishwa kushiriki ibada kanisa la MANNA TABERNACLE BIBLE CHURCH (MTBC). Kanisa linakutanika Posta mpya mtaa wa kisutu jijini Dar es salaam, Ukumbi wa shule ya msingi Kisutu. Tunakutana kila jumapili kuanzia saa 4 asubuhi mpaka saa 7 mchana. Tunashawishika kukutangazia Maisha yako hayatabaki kama yalivyokuwa.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: