ELIMU KUHUSU UMILIKI WA ARDHI,CHUKUA HATUA MILIKI ARDHI YAKO KISHERIA.
Автор: NJOMBE TC
Загружено: 2025-06-12
Просмотров: 4802
Описание:
Wananchi wa kijiji cha Mfereke walipatiwa elimu ya umiliki wa ardhi katika mkutano wa hadhara uliofanyika katika ofisi za kijiji kwa lengo la kupeana taarifa za maendeleo ya kijiji pamoja na kuwajengea wananchi uelewa kuhusu masuala ya ardhi kama njia mojawapo ya kuimarisha maendeleo ya kijiji.
Katika mkutano huo, Kaimu Mkuu wa Kitengo cha Ardhi na Mipango miji H/Mji Njombe, Emmanuel Luhamba alitoa elimu kuhusu masuala ya ardhi ikiwemo umuhimu wa kupanga, kupima na kumiliki ardhi kisheria pamoja na faida zake kiuchumi na kijamii. Elimu hiyo imelenga kuwajengea uelewa wakazi wa Mfereke kuhusu matumizi bora ya ardhi na nafasi ya ardhi katika kuinua kipato chao.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: