Rais Magufuli alivyompigia simu Mkurugenzi wa TAKUKURU ili amfute kazi Mkuu wa TAKUKURU mkoa
Автор: EastAfricaTV
Загружено: 2019-10-16
Просмотров: 5510
Описание:
#EATV
Akiwa katika mwendelezo wa ziara yake mkoani Lindi na Mtwara, Rais Magufuli Oktoba 16, 2019, alimfuta kazi Kamanda wa TAKUKURU mkoa wa Mtwara baada ya kushindwa kutatua changamoto ya rushwa miongoni mwa wananchi.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: