MWISHO WA MWAKA Episode 01 Kivu Master
Автор: KIVU MASTER
Загружено: 2025-10-26
Просмотров: 777
Описание:
MWISHO WA MWAKA ni Film ya kitanzania inayo onyesha matukio yanayo tokea MWISHO WA MWAKA kwa jamii na familia
MWISHO WA MWAKA malanyingi tunaona ajali ni nyingi sana ukweli ni kwamba sio Kila ajali amepanga MUNGU Bali ajali nyingi ni za kafara watu Fulani Huwa wanatumwa damu za MWISHO WA MWAKA ndio mana ajari uwa nyingi ivyo basi nakuomba ufatilie hii Hadi MWISHO utajifunza kitu
Director
Kivu Master
WhatsApp. https://wa.me/qr/SIFPZUNEK2QVE1
Add me as a contact on WhatsApp. https://wa.me/qr/SIFPZUNEK2QVE1
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: