URUSI YATOA KAULI IRAN KUSHAMBULIWA, YAITAKA MAREKANI NA ISRAEL
Автор: VILLY TV
Загружено: 2026-02-28
Просмотров: 5790
Описание:
URUSI imelaani mashambulizi ya Marekani na Israel katika taifa la Iran na kukiita kitendo hicho kama “Kitendo kilichopangwa mapema na kisichochochewa cha uchokozi wa kijeshi dhidi ya nchi huru na inayojitegemea, mwanachama wa Umoja wa Mataifa,”
Pia imeitaka Marekani na Israel kusitisha mara moja kampeni hiyo ya kijeshi na kurejea kwenye diplomasia kwa kuheshimu utawala wa Iran.
#Mamasamia #simbatv #singidafountaingate #yangatv #yangasc #diamond #kondegang #wcb #wasafimedia.#singidafountaingate #yangatv #yangatv #simbatv #singidafountaingate #diamond #simbasc #kondegang #kingmusicofficial #wcb #yangatv #yangasc #simbasc #konAdegang #wcb #simbatv #singidafountaingate #live #yangas
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: