PSSSF NA UKOMBOZI WA WASTAAFU, SASA NI KIDIGITALI ZAIDI
Автор: Ndalini Media Solution Limited
Загружено: 2025-07-12
Просмотров: 135
Описание:
Mfuko wa hifadhi ya jamii kwa watumishi wa Umma (PSSSF) umeendelea kuwa msaada mkubwa kwa wastaafu huku pia kwa sasa hautakuwa na sababu ya kwenda ofisini kwao mara kwa mara badala yake hata kwa simu (kidigitali) unaweza kusaidika
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa bodi wa mfuko huo Joyce Mapunjo alipotembelea banda la PSSSF kwenye maonesho ya 49 ya sabasaba barabara ya Kilwa hapa Dar es Salaam
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: