VICHOCHEZII VYA UPUUZI NA ATHARI ZAKE KUNAKO SWAUMU || SH ABDURASHID ATHUMAN
Автор: NUR TV BURUNDI
Загружено: 2026-02-14
Просмотров: 67
Описание:
Katika khutba hii, Sh Abdurashid Athuman anaelezea kwa kina vichochezi vya upuuzi vinavyoenea katika mitandao ya kijamii na namna vinavyoathiri ibada ya swaumu. Anatahadharisha kuhusu maudhui yasiyo na maadili yanayotengenezwa kwa ajili ya kutafuta umaarufu na “views”, huku yakipoteza muda na kupunguza thamani ya Ramadhani.
Khutba hii ni wito wa kujilinda na upuuzi wa mitandaoni, kuchagua maudhui yenye manufaa, na kuitunza swaumu kwa matendo mema na nidhamu ya kiroho.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: