ZIARA YA HESHIMA YA KCB BANK KWA RAIS WA ZANZIBAR
Автор: KCB Tanzania
Загружено: 2026-03-05
Просмотров: 30
Описание:
KCB Bank Tanzania ikiongozwa na mwenyekiti wa bodi, Balozi Peter Kallaghe na Mkurugenzi mkuu Ndg. Cosmas Kimario, pamoja na watendaji wamefanya ziara ya heshima kwa Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi, Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi Leo 5 machi 2026. kwa lengo la kumpongeza kwa uongozi mashuhuri na kujadili namna ya kuendelea kushirikiana katika kuimarisha uchumi na fursa za kifedha kwa jamii.
Aidha, Rais Dkt. Mwinyi ameisisitiza benki ya KCB Tanzania kupitia programu ya kurudisha fadhila kwa jamii kushirikiana na Wizara ya Vijana, Ajira na Uwezeshaji kutafuta njia bora na endelevu zitakazowanufaisha vijana, hususan katika suala la uwezeshaji wa mikopo kwa vijana hili waweze kujiajiri.
#kcbbanktanzania
#forpeopleforbetter
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: