ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

BAADA YA KUFANYA WIZI JIJINI DAR - POLISI MWANZA WANASA BASI LILILOKUWA LINATAKA KUCHINJWA

Автор: GSengo

Загружено: 2018-10-12

Просмотров: 420434

Описание: NA ZEPHANIA MANDIA/GSENGOtv

JESHI la polisi mkoa wa Mwanza limekamata watu wawili wanaosadikika kuwa ni majambazi wakitajwa kuiba gari lenye namba T 929 DCD aina ya HINO mali ya kampuni ya Sanu East Africa LTD ya Jijini Dar es salaam katika eneo la Kishiri - Igoma wilayani Nyamagana jijini Mwanza.

Akizungumza na vyombo mbalimbali vya habari mkoani hapa Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoa wa Mwanza, Jonathan Shanna amesema ukamataji huo umefanyika tarehe 11/10/2018 majira ya saa Kumi na Moja jioni. hii ni baada ya Jeshi lake kupata taarifa za kutoka kwa wasamaria wema, wazalendo wakipenyeza taarifa kwamba, kuna watu wameingia mkoani kwake na gari waliloliiba jijini Dar es salaam ambapo mara baada ya taarifa hiyo, Polisi walianza ufuatiliaji wa chocho kwa chocho na hatimaye kufanikiwa kukamata wezi hao wakiwa na gari hilo.

Kabla ya kukamatwa kwa gari hilo, taarifa zinaeleza kuwa ni mara mbili lilipelekwa kwenye gereji tofauti tofauti jijini hapa kwaajili ya kukatwakatwa vipande ili liuzwe kama spea na vyuma chakavu lakini ilishindikana mara baada ya wamiliki wa gereji hizo kukataa kufanya zoezi hilo kutokana na kuwa na maswali mengi yaliyokosa majibu yaliyozingirwa na hofu.

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
BAADA YA KUFANYA WIZI JIJINI DAR - POLISI MWANZA WANASA BASI LILILOKUWA LINATAKA KUCHINJWA

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KILICHOTOKEA BAADA YA JAMBAZI KAJISALIMISHA MIKONONI MWA KAMANDA MUROTO

KILICHOTOKEA BAADA YA JAMBAZI KAJISALIMISHA MIKONONI MWA KAMANDA MUROTO

BMG TV: Mwonekano wa Mtaa maarufu wa Makoroboi jijini Mwanza

BMG TV: Mwonekano wa Mtaa maarufu wa Makoroboi jijini Mwanza

POLISI WAUA WNGINE 13 TANGIBOVU, KIBITI - WAKUTA BUNDUKI 8, PIKIPIKI 2 NA BEGI LA NGUO

POLISI WAUA WNGINE 13 TANGIBOVU, KIBITI - WAKUTA BUNDUKI 8, PIKIPIKI 2 NA BEGI LA NGUO

RAIS DKT MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAFUNGWA NA MAHABUSU KATIKA GEREZA LA BUTIMBA JIJINI MWANZA

RAIS DKT MAGUFULI AZUNGUMZA NA WAFUNGWA NA MAHABUSU KATIKA GEREZA LA BUTIMBA JIJINI MWANZA

POLISI MWANZA WAMNASA JAMAA ANAYEWANYWESHA WANAWAKE DAWA ZA KULEVYA NA KUWABAKA

POLISI MWANZA WAMNASA JAMAA ANAYEWANYWESHA WANAWAKE DAWA ZA KULEVYA NA KUWABAKA

"TUMEWAUA MAJAMBAZI 12, WALIRUSHA BOMU TUTAWATANDIKA IWE FUNZO'' - RPC KIGOMA

Muroto: Mwili mkubwa mrefu, una afya lakini unataka kuiba,

Muroto: Mwili mkubwa mrefu, una afya lakini unataka kuiba, "Ukiingia Dodoma hautoki, Mwizi wewe"

KIJANA HUYU AWALIZA WENYE MAGARI JIJINI MBEYA ANAUWEZO WA KUFUNGUA KILA GARI

KIJANA HUYU AWALIZA WENYE MAGARI JIJINI MBEYA ANAUWEZO WA KUFUNGUA KILA GARI

ASKARI ALIYESAFIRISHA BILIONI 1 ASIMULIA WALIVYOPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI

ASKARI ALIYESAFIRISHA BILIONI 1 ASIMULIA WALIVYOPIGWA RISASI NA MAJAMBAZI "KIKWETE ALIGHAIRI SAFARI"

DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA

DC AVAMIA HOTELINI AMKAMATA JAMAA NA MILIONI 11 BANDIA

Polisi bandia wakamatwa Rongo

Polisi bandia wakamatwa Rongo

Maafisa watatu wa trafiki wakamatwa wakila hongo

Maafisa watatu wa trafiki wakamatwa wakila hongo

"Nabii Tito" amwambia Kamanda "mimi ninatumia Biblia"

Majambazi waiba Tsh. Mil 150 na kuuwa watu 2 jijini DSM.

Majambazi waiba Tsh. Mil 150 na kuuwa watu 2 jijini DSM.

TUKIO LA MTOTO WA DARASA LA 5 MTWARA KUANGUSHWA KWENYE UNGO KISHIRIKINA/WAZAZI WALIA NA SERIKALI.

TUKIO LA MTOTO WA DARASA LA 5 MTWARA KUANGUSHWA KWENYE UNGO KISHIRIKINA/WAZAZI WALIA NA SERIKALI.

MV MWANZA KUBEBA WATU 1200, ITAKUWA NA KITUO CHA POLISI, ATM, HOSPITALI NA KUMBI ZA STAREHE

MV MWANZA KUBEBA WATU 1200, ITAKUWA NA KITUO CHA POLISI, ATM, HOSPITALI NA KUMBI ZA STAREHE

MWANANGU KAARIBULIWA NA BABA YAKE KAMFANYA MKE WAKE |USIKU KUCHA ANAMUINGILIA

MWANANGU KAARIBULIWA NA BABA YAKE KAMFANYA MKE WAKE |USIKU KUCHA ANAMUINGILIA

Fatma Karume amvaa Tundu Lissu: Chadema mlimkosea adabu Samia, mmemdharau kwa kuwa ni mwanamke

Fatma Karume amvaa Tundu Lissu: Chadema mlimkosea adabu Samia, mmemdharau kwa kuwa ni mwanamke

Balaa alilolifanya Mbunge Msigwa Bungeni “SIWEZI KUMPIGIA MAGOTI”

Balaa alilolifanya Mbunge Msigwa Bungeni “SIWEZI KUMPIGIA MAGOTI”

ДЖАМБАЗИ СУГУ АРЕСТОВАН

ДЖАМБАЗИ СУГУ АРЕСТОВАН

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]