DHIKI ZILIMLIZA KILA SIKU ILA AYA HII IKAFUNGUA MAISHA YAKE YOTE
Автор: TURIYU TV subira, dua na mafanikio
Загружено: 2026-03-01
Просмотров: 355
Описание:
DHIKI ZILIMTESA KILA SIKU… lakini aya hii ya Neno la Mungu ikabadilisha maisha yake kabisa!
Katika video hii utajifunza nguvu ya aya moja inayoweza kuleta tumaini, faraja na mabadiliko makubwa katika maisha yako. Kama unapitia changamoto, maumivu, msongo wa mawazo au hali ngumu ya kifedha, ujumbe huu ni kwa ajili yako.
Neno la Mungu lina nguvu ya: ✔ Kuondoa hofu
✔ Kuleta amani moyoni
✔ Kufungua milango ya baraka
✔ Kurejesha tumaini lililopotea
Tazama mpaka mwisho upokee mafundisho haya na usisahau kushare na mtu anayehitaji ujumbe huu leo.
🙏 Andika kwenye comment: “NINAAMINI” kama unapokea mabadiliko katika maisha yako.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: