UHATARI WA UZUSHI NA UONGO KATIKA KUANGAMIZA MTU MMOJA MMOJA NA JAMII KWA UJUMLA
Автор: Darul Hadith Ununio
Загружено: 2025-12-12
Просмотров: 121
Описание:
Sheikh katika khutba hii aenongelea uhatari wa kuzuaha skendo mbalimbali katika jamiii na madhara yake katika kuathuri mtu mmoja mmoja na jamii kwa ujumla.
Khutba hii imekuja kwa munasaba wa habari zinazosakbaa sasa hivi kuhusu kifo cha Rais Samia na kuwa baadhi ya watu wanasambaza habari za #kifochaRais Samia Suluhu bila kuwa na #ukweli kuhusu kifo cha Rais Samia
Suluhu Hassan.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: