Maafisa gereza 7 wakamatwa kufuatia utoro wa magaidi gerezani Kamiti
Автор: Citizen TV Kenya
Загружено: 2021-11-16
Просмотров: 34179
Описание:
Maafisa gereza 7 wakamatwa kufuatia utoro wa magaidi gerezani Kamiti
Wafungwa 3 wa ugaidi walitoroka jana kupitia shimo walilochimba
Mkuu wa DCI George Kinoti aongoza uchunguzi katika gereza la Kamiti
Wafungwa hao watoro wanasakwa na polisi kwa udi na uvumba
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: