KWA MARA NYINGINE TENA
Автор: Wasafi Media
Загружено: 2019-02-05
Просмотров: 24266
Описание:
Kwa Mara Nyingine tena Tunaitambulisha Kwenu #BrandNewShow ... #TheBarTender Official Kupitia @wasafitv na Kumleta Kwenu #BabaAko @jonijooo Kwenye Screen Yako
Hii ni Show ya Kinyamwezi (Youth) Special Ambayo Itakupa Nafasi ya Kujua Maisha ya Msanii Nje ya Sanaa Ambayo anaifanya na Kujua Mambo Tofauti yanayowahusu wao Kwenye Maisha yao ya Kawaida
USIKOSE EPISODE YA KWANZA LEO SAA 3 KAMILI USIKU ... HALAFU TABIRI NI STAR GANI WA KWANZA ATADONDOKA KWENYE #TheBarTender na @jonijooo TIME HIYO ?
Big Shout To ... #RhapsodyMasaki
.
#HAINAKUFELI #HUUNIMWAKAWAKO#HiiNiYetuSote #SanaaImezaliwaUpya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: