Ramadhan Iftar Distribution 2026 | Sponsored by GAB Foundation
Автор: Halaal Charity Tv
Загружено: 2026-02-23
Просмотров: 253
Описание:
Ramadhan Iftar Distribution 2026 iliyoandaliwa na Halaal Charitable Trust kwa ufadhili wa GAB Foundation, ikilenga kuwasaidia Waislamu wenye uhitaji kupata futari katika mwezi mtukufu wa Ramadhan. Kupitia zoezi hili la khairi, familia nyingi zilifikiwa na kupatiwa mahitaji muhimu ya futari kama sehemu ya kuimarisha mshikamano na kusaidia jamii.
Tazama jinsi msaada wako unavyobadilisha maisha na kuleta furaha kwa wenye uhitaji katika mwezi wa Ramadhan. Endelea kutuunga mkono katika juhudi za kusaidia jamii.
#ramadhan2026 #IftarDistribution #Charity #Sadaqa #HalaalCharitableTrust #GABFoundation
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: