🔴 Usikose! Fadhila Kubwa za I‘tikafu na Qiyamu Ramadhani | Sheikh Hamza Muyombo
Автор: Taqwa Media Makambako
Загружено: 2026-03-15
Просмотров: 30
Описание:
بِسْمِ اللّٰهِ الرَّحْمٰنِ الرَّحِيْم
🕌 Khutba ya Ijumaa
🗓 Tarehe: 13/03/2026
🎙 Khatwib: Alhaj Sheikh Hamza Muyombo
📍 Mahali: Masjid Taqwa
📝 MADA:
I‘tikafu na Qiyamu katika Mwezi Mtukufu wa Ramadhani
Katika khutba hii muhimu, Alhaj Sheikh Hamza Muyombo anaeleza umuhimu wa ibada ya I‘tikafu na Qiyamu katika siku za mwisho za mwezi mtukufu wa Ramadhani. Khutba hii inawakumbusha Waumini kutumia vizuri masiku haya yenye baraka kwa kuongeza ibada, kuswali usiku, kufanya dua na kujikurubisha zaidi kwa Mwenyezi Mungu.
📖 Ushahidi wa Qur’an na Hadithi
“Wala msiingiliane nao (wake zenu) hali ya kuwa mnakaa i‘tikafu misikitini.”
(Qur’an, Al-Baqarah: 187)
Mtume Muhammad ﷺ amesema:
“Atakayesimama (kuswali) Ramadhani kwa imani na kutarajia thawabu atasamehewa madhambi yake yaliyotangulia.”
(Imepokewa na Bukhari na Muslim)
Khutba hii inahimiza Waumini kuzidisha ibada katika kumi la mwisho la Ramadhani ili kupata rehema, maghufira na kuokolewa na Moto.
🔔 USISAHAU
✅ Subscribe Taqwa media makambako
👍 Like video
💬 Toa maoni yako
🔁 Share kwa ndugu na marafiki
🔖 Hashtags
#KhutbaYaIjumaa
#Ramadhani
#Itikafu
#QiyamuRamadhani
#Taqwamediamakambako
#Daawah
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: