Maajabu ya Uganga: Televisheni yakwama kichwani mwa mshukiwa wa wizi Teso
Автор: KTN News Kenya
Загружено: 2016-02-24
Просмотров: 598894
Описание:
Je mtazamaji…..unaamini uwepo wa nguvu za ushirikina?....kama huamini basi itabidi uitazame kwa makini taarifa ya kipekee inayofuata ambapo mshukiwa mmoja katika kijiji cha Kaliwa kaunti ndogo ya Teso, alishuhudia siku zake arobaini kufika wakati aliponaswa kupitia nguvu za mganga mmoja…..mshukiwa huyo alishindwa kuiondoa televisheni aliyoiba kichwani akateseka nayo kwa muda wa saa nne. Ilibidi mganga aitwe kuiondoa kichwani
Watch KTN Live http://www.ktnkenya.tv/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on / ktnkenya
Like us on / ktnkenya
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: