🔥 “Zaidi ya 20 Wakenya Wakwama Urusi! Serikali ya Kenya Yasema Uokoaji Ni Mgumu”
Автор: Kaka Ken_254
Загружено: 2026-02-16
Просмотров: 55
Описание:
Serikali ya Kenya imekiri kuwa juhudi za kuwaokoa Wakenya waliodaiwa kujiunga au kudanganywa kuingia katika jeshi la Urusi kupigana vita vya Ukraine ni ngumu, ingawa si jambo lisilowezekana. Taarifa zinaonyesha kuwa baadhi yao walivutwa na ahadi za kazi zenye malipo mazuri lakini baadaye wakajikuta wakipelekwa moja kwa moja katika maeneo ya mapigano.
Changamoto zinazotajwa ni pamoja na kunyimwa nyaraka za kusafiria, kuwekewa vizuizi vya mawasiliano, hatari ya vita kwenye frontline pamoja na upatikanaji mdogo wa huduma za kibalozi. Serikali pia imesema imefunga mamia ya mawakala hewa wa ajira huku ikiendelea kutafuta njia za kuwasaidia waliokwama.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: