Dear AHADI Podcast | Watu Wengi Wanapitia Haya Kimya Kimya😔| Shida za Maisha (Ep.3)
Автор: AHADI Mental Health
Загружено: 2025-11-07
Просмотров: 211
Описание:
All AHADI important links: https://linktr.ee/ahadimentalhealth
Watu wengi wanapitia maumivu makubwa kimya kimya — upweke, kujichukia, msongo wa mawazo, madeni, na changamoto za kiafya.
Katika episode hii ya Dear Ahadi Podcast, host Joachim Magava na Psychotherapist Catherine Kisarika wanazungumza kwa uwazi kuhusu:
💭 Kwa nini tunahisi tuko peke yetu hata tukiwa na watu.
💔 Jinsi madeni na matumizi mabaya yanavyoongeza msongo.
🩺 Changamoto za kiafya na kukata tamaa unapokosa msaada.
💚 Na jinsi ya kuanza kujipenda tena, kupata msaada, na kujenga matumaini mapya.
Kama umewahi kujihisi umechoka, huna nguvu, au hujui pa kuanzia — hii ni kwa ajili yako.
🎧 Sikiliza sasa, shiriki, na tag rafiki anayehitaji kusikia haya.
👉 Unayo story ya kushare? Jaza form https://forms.gle/H5cXvU1yQvzaLtRz7 au tuma DM kwenye Instagram yetu @ahadi.mentalhealth. Utabaki anonymous.
Your personalized, stigma-free mental health companion.
Live in Tanzania 🇹🇿
SMS: 15061 | CALL: 199 | Download AHADI App
“Always There, Always Care.”
AHADI is a Product by TAHMEF: https://www.tahmef.org
AHADI is Tanzania’s first stigma-free digital mental health platform — built to make mental health care easy, affordable, and accessible to all. Powered by TAHMEF, AHADI combines online tools and offline services to support your mental wellness, wherever you are.
Download APP here: 🔗 https://openinapp.link/fg4qa
Through the app, you get access to:
💬 Support groups (vikundi vya usaidizi)
👩⚕️ Professional mental health services from certified psychologists & psychotherapists
📔 Daily journaling tools and tips for self-care
💡 Easy-to-understand mental health education in Swahili
🤖 24/7 chatbot assistance and hotline/SMS access via Afya Call Centre (call 199 or text 15061) — bilingual, confidential and free
📞 24/7 Support
📞 Call: 199
💬 SMS: 15061
📲 App download & start: https://openinapp.link/fg4qa
🌍 Stay Connected
📸 Instagram: https://insta.openinapp.co/ejtk5
💼 LinkedIn: https://linkedin.openinapp.co/pgyz9
🎵 TikTok: https://openinapp.link/maaby
🐦 Twitter: https://twtr.openinapp.co/ewv9p
Learn more about us here: https://ahadimentalhealth.io/
#DearAhadiPodcast #MentalHealthTanzania #Upweke #MsongoWaMawazo #Kujichukia #Madeni #Afya #ahadiapp
Tags
Mental Health Tanzania, digital mental health, AHADI App, TAHMEF, stigma-free therapy, youth mental wellness, Tanzania hotline 199, SMS 15061, dear ahadi podcast, ahadi mental health, upweke, msongo wa mawazo, kujichukia, depression tanzania, stress tanzania, mental health swahili, changamoto za maisha, madeni, matatizo ya kifedha, pombe na msongo, afya ya akili, self hate, loneliness, financial stress, kujiua, kujipenda tena, tanzania podcast, swahili mental health podcast, maumivu ya mapenzi
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: