KISA CHA NUH [NOAH] (A.S.) SEHEMU YA 1 | Hajji Abdibasid Ahmed
Автор: Hajji ABDIBASID AHMED
Загружено: 2025-11-22
Просмотров: 72
Описание:
Katika ujumbe huu wa kiqurani, Hajji Abdi anasimulia safari ya Mtume Nuh (A.S) jinsi alivyotumwa kuwaonya watu wake juu ya adhabu ya gharika, lakini wakamdhihaki, wakamkejeli, na kupuuza wito wa haki.
Lakini kama Qur’an inavyotufundisha, Haki haipotei na mwisho wa subira ya Nuh (A.S) ukawa mwanzo wa wokovu kwa waumini wachache waliomtii.
Ujumbe huu unakukumbusha umuhimu wa kusimama na ukweli, hata unapochekwa au kupingwa.
👉 Tazama ujumbe mzima kwenye channel yetu na jisubscribe kwa mafundisho zaidi ya Kiislamu.
Subscribe, like & share to spread da’wah.
#NuhAS #StoryOfNoah #QuranStories #HajjiAbdi #IslamicTeachings #QuranTafsir #DawahKenya #NoahInQuran #GharikaYaNuh #IslamicReminder #SubscribeNow #SpiritualGrowth #ImaniNaSubira #ProphetsOfAllah #HadithiZaManabii #MuslimYouTube #QuranLessons #KenyaMuslims #IslamicContent
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: