ycliper

Популярное

Музыка Кино и Анимация Автомобили Животные Спорт Путешествия Игры Юмор

Интересные видео

2025 Сериалы Трейлеры Новости Как сделать Видеоуроки Diy своими руками

Топ запросов

смотреть а4 schoolboy runaway турецкий сериал смотреть мультфильмы эдисон
Скачать

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 16/01/2026

Автор: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH

Загружено: 2026-01-17

Просмотров: 4681

Описание: KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YAEVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 16/01/2026

UJUMBE WA LEO : UNAFANYAJE KUNAPOKUWA NA TESO LA KUJIRUDIA RUDIA KWENYE LANGO LA FAMILIA ”FAMILIA YA ZEBEDAYO”
Marko 1 : 19 - 21
Mathayo 27 : 55 - 56
Ufunuo 5 : 9
Yoshua 3 : 17
Mathayo 20 : 20 - 22
Kutoka 10 : 24 - 26
Zaburi 105 : 36 - 38
2Wafalme 4 : 1 - 2
Kutoka 12 : 1 - 4
Kutoka 12 : 12

Marko 1 : 19 - 21
19 Akaendelea mbele kidogo, akamwona Yakobo wa Zebedayo, na Yohana nduguye, nao pia walikuwa chomboni, wakizitengeneza nyavu zao.

20 Mara akawaita, wakamwacha baba yao Zebedayo ndani ya chombo pamoja na watu wa mshahara, wakaenda, wakamfuata.

21 Wakashika njia mpaka Kapernaumu, na mara siku ya sabato akaingia katika sinagogi, akafundisha.

Mathayo 27 : 55 - 56
55 Palikuwa na wanawake wengi pale wakitazama kwa mbali, hao ndio waliomfuata Yesu toka Galilaya, na kumtumikia.

56 Miongoni mwao alikuwamo Mariamu Magdalene, na Mariamu mama yao Yakobo na Yusufu, na mama yao wana wa Zebedayo.

Ufunuo 5 : 9
9 Nao waimba wimbo mpya wakisema, Wastahili wewe kukitwaa hicho kitabu na kuzifungua muhuri zake; kwa kuwa ulichinjwa, ukamnunulia Mungu kwa damu yako watu wa kila kabila na lugha na jamaa na taifa,

Yoshua 3 : 17
17 Na hao makuhani waliolichukua sanduku la agano la Bwana wakasimama imara mahali pakavu katikati ya Yordani; Israeli wote wakavuka katika nchi kavu, hata taifa lile lote likaisha kuvuka Yordani.

Mathayo 20 : 20 - 22
20 Ndipo mama yao wana wa Zebedayo akamwendea pamoja na wanawe, akamsujudia, na kumwomba neno.

21 Akamwambia, Wataka nini? Akamwambia, Agiza kwamba hawa wanangu wawili waketi mmoja mkono wako wa kuume, na mmoja mkono wako wa kushoto, katika ufalme wako.

22 Yesu akajibu akasema, Hamjui mnaloliomba. Je! Mwaweza kunywea kikombe nitakachonywea mimi? Wakamwambia, Twaweza.

Kutoka 10 : 24 - 26
24 Farao akamwita Musa, na kumwambia, Haya, nendeni, mkamtumikie Bwana; kondoo zenu na ng'ombe zenu tu na waachwe; watoto wenu nao na waende pamoja nanyi.

25 Musa akasema, Ni lazima utupe mikononi mwetu na wanyama wa dhabihu na wa sadaka za kuteketezwa, ili tupate kumchinjia Bwana Mungu wetu dhabihu.

26 Makundi yetu pia watakwenda pamoja nasi; hautasalia nyuma hata ukwato mmoja; kwa maana inampasa kutwaa katika hao tupate kumtumikia Bwana, Mungu wetu; nasi hatujui, hata tutakapofika huko, ni kitu gani ambacho kwa hicho inatupasa kumtumikia Bwana.

Zaburi 105 : 36 - 38
36 Akawapiga wazaliwa wa kwanza katika nchi, Malimbuko ya nguvu zao.

37 Akawatoa hali wana fedha na dhahabu, Katika kabila zao asiwepo mwenye kukwaa.

38 Misri ilifurahi walipoondoka, Maana kwa ajili yao hofu imewaangukia.

2 Wafalme 4 : 1 - 2
1 Basi, mwanamke mmoja miongoni mwa wake za wana wa manabii alimlilia Elisha, akasema, Mtumishi wako mume wangu amekufa; nawe unajua ya kuwa mtumishi wako alikuwa mcha Bwana; na aliyemwia amekuja ili ajitwalie wana wangu wawili kuwa watumwa.

2 Elisha akamwambia, Nikufanyie nini? Niambie; una kitu gani nyumbani? Akasema, Mimi mjakazi wako sina kitu nyumbani, ila chupa ya mafuta.

Kutoka 12 : 1 - 4
1 Bwana akanena na Musa na Haruni katika nchi ya Misri, akawaambia,

2 Mwezi huu utakuwa mwanzo wa miezi kwenu; utakuwa ni mwezi wa kwanza wa mwaka kwenu.

3 Semeni na mkutano wote wa Israeli, mkawaambie, Siku ya kumi ya mwezi huu kila mtu atatwaa mwana-kondoo, kwa hesabu ya nyumba ya baba zao, mwana-kondoo kwa watu wa nyumba moja;

4 na ikiwa watu wa nyumba ni wachache kwa mwana-kondoo, basi yeye na jirani yake aliye karibu na nyumba yake na watwae mwana-kondoo mmoja, kwa kadiri ya hesabu ya watu; kwa kadiri ya ulaji wa kila mtu, ndivyo mtakavyofanya hesabu yenu kwa yule mwana-kondoo.

Kutoka 12 : 12
12 Maana nitapita kati ya nchi ya Misri usiku huo, nami nitawapiga wazaliwa wa kwanza wote katika nchi ya Misri, wa mwanadamu na wa mnyama; nami nitafanya hukumu juu ya miungu yote ya Misri; Mimi ndimi Bwana.

AGENDA ZA MAOMBI
1. Tubu kwa ajili ya familia ili kumfungulia Mungu mlango wa kuwafatilia wafuatao:

i) Watu ambao ni malango kwenye familia

ii) Watu wenye hatima kubwa na maono ya mbali.

2. Omba neema na Upako wa Mungu uliokuwa juu ya familia ya Zebedayo uwe juu ya familia Yako.

3. Omba na toa sadaka kifamilia kuondoa mazuio yanayoikwamisha familia na wanafamilia kiuchumi.

Mhubiri: Mwl.Benjamin Abel

Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: Dr. Eliona Kimaro
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Mch. Msaidizi: Anna Kuyonga
Simu: +255 713 553 443
YouTube: Kijitonyama Lutheran church
Barua Pepe : [email protected]

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - FRIDAY PRAYERS 16/01/2026

Поделиться в:

Доступные форматы для скачивания:

Скачать видео

  • Информация по загрузке:

Скачать аудио

Похожие видео

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 16/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 16/01/2026

Neema Gospel Choir - Umenipendelea (Live Music Video)

Neema Gospel Choir - Umenipendelea (Live Music Video)

Aligning With God's Priorities In Your Life || Apostle John Kimani William

Aligning With God's Priorities In Your Life || Apostle John Kimani William

IBADA YA MKESHA

IBADA YA MKESHA

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

АВИЦЕННА ЗНАЛ: ПОЖИЛЫЕ, НЕ МОЙТЕСЬ ТАК! ЭТО КРАДЕТ ГОДЫ ЖИЗНИ!

# LIVE IBADA YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE | 17.1.2026

# LIVE IBADA YA MAOMBI YA USIKU WA MANANE | 17.1.2026

USIIZIKE NDOTO YAKO    (DON'T BURY YOUR DREAM) REV. DR. ELIONA KIMARO

USIIZIKE NDOTO YAKO (DON'T BURY YOUR DREAM) REV. DR. ELIONA KIMARO

AKAOMBA TENA MBINGU ZIKATOA MVUA | DAY XIV | PANA SAUTI YA MVUA TELE | Mwl.Emilian Katubayemo

AKAOMBA TENA MBINGU ZIKATOA MVUA | DAY XIV | PANA SAUTI YA MVUA TELE | Mwl.Emilian Katubayemo

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 15/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA EVENING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 15/01/2026

DAY 6 | MFUNGO WA MAOMBI YA SIKU 21 MWANZO WA MWAKA | 2026 NA MIMI NISHUHUDIE MATENDO MAKUU YA MUNGU

DAY 6 | MFUNGO WA MAOMBI YA SIKU 21 MWANZO WA MWAKA | 2026 NA MIMI NISHUHUDIE MATENDO MAKUU YA MUNGU

SALIM KIKEKE afunguka KUFUKUZWA CROWN FM na ALIKIBA, DIAMOND nafanya naye kazi HAKUNA TATIZO..

SALIM KIKEKE afunguka KUFUKUZWA CROWN FM na ALIKIBA, DIAMOND nafanya naye kazi HAKUNA TATIZO..

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

Mafanikio Yako Yapo Kwa Maadui Zako USIWAOGOPE! - Rev. Dr. Eliona Kimaro

NGUVU YA KIBALI  - PASTOR SUNBELLA KYANDO

NGUVU YA KIBALI - PASTOR SUNBELLA KYANDO

KWA NEEMA HII UTAFANYA HATA YALE YASIYOWEZEKANA MWAKA HUU ! Rev. Eliona Kimaro (Part 1)

KWA NEEMA HII UTAFANYA HATA YALE YASIYOWEZEKANA MWAKA HUU ! Rev. Eliona Kimaro (Part 1)

"MABADILIKO YA NDANI" (INNER CHANGES) / REV. DR.ELIONA KIMARO

UKIMUELEWA MCH. KIMARO MWAKA HUU UTAKUWA WA MAFULIKO YA BARAKA ZAKO! | (Part2) ~ Rev. Eliona Kimaro

UKIMUELEWA MCH. KIMARO MWAKA HUU UTAKUWA WA MAFULIKO YA BARAKA ZAKO! | (Part2) ~ Rev. Eliona Kimaro

JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris

JINSI YA KUSHINDA UVIVU WA KUOMBA - Innocent Morris

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 15/01/2026

KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH : IBADA YA MORNING GLORY - THE SCHOOL OF HEALING 15/01/2026

Unatoka Wapi na Unakwenda Wapi? | Ibada ya Mkesha wa Mwaka Mpya 2025 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Unatoka Wapi na Unakwenda Wapi? | Ibada ya Mkesha wa Mwaka Mpya 2025 | Rev. Dr. Eliona Kimaro

© 2025 ycliper. Все права защищены.

  • Контакты
  • О нас
  • Политика конфиденциальности

Контакты для правообладателей: [email protected]