Ukiwa na Ukimwi Unafungwa Jela : Mambo 10 Usiyoyajua Kuhusu UKIMWI
Автор: Doctor Daniel
Загружено: 2026-02-17
Просмотров: 757
Описание:
Katika video hii, nakuletea mambo 10 ambayo watu wengi hawajui kuhusu HIV/AIDS — baadhi yake yatakushangaza sana!
Nitazungumzia:
Ukweli kuhusu maambukizi
Sheria zinazohusiana na HIV
Uwezekano wa kuishi maisha marefu
Dhana potofu zinazozunguka mitandaoni
Na mambo ambayo jamii haizungumzi sana
📌 Kumbuka: Elimu sahihi inaweza kuokoa maisha.
👉 Subscribe kwa maudhui zaidi ya afya yanayoelimisha na kufungua macho.
👉 Share video hii ili tuondoe upotoshaji kuhusu HIV.
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: