Haya ndiyo makosa ya Maalim Seif kwa mujibu wa Tundu Lissu
Автор: Gumzo la Ghassani
Загружено: 2022-05-24
Просмотров: 7180
Описание: Kwenye mazungumzo yake katika ukumbi wa Clubhouse hivi leo (Mei 24), Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amesema Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad alifanya makosa ya kimkakati kwenye kusaka maridhiano ya Wazanzibari bila kuzingatia kwamba Zanzibar haina uwezo wa kutekeleza maridhiano hayo bila ya idhini ya Dodoma. Nini maoni yako?
Повторяем попытку...
Доступные форматы для скачивания:
Скачать видео
-
Информация по загрузке: